id
string
story_id
string
context
string
question
string
answer
string
paragraph_id
string
3297_swa_5
3297_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA NCHI YA KENYA Kilimo ndio uti wa mgongo wa nchi yetu ya Kenya. Kilimo kina manufaa ainati. Kilimo kinaweza kuimarisha nchi yetu kupitia kwa mauzo ya mazao ya kilimo. Mazao kama vile majani chai na kahawa yanauzwa katika nchi za ng'ambo na hivyo kuwezesha kuleta pesa nchini. Kwa k...
Ni nini uti wa mgongo wa nchi yetu ya Kenya
Kilimo
x
3297_swa_6
3297_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA NCHI YA KENYA Kilimo ndio uti wa mgongo wa nchi yetu ya Kenya. Kilimo kina manufaa ainati. Kilimo kinaweza kuimarisha nchi yetu kupitia kwa mauzo ya mazao ya kilimo. Mazao kama vile majani chai na kahawa yanauzwa katika nchi za ng'ambo na hivyo kuwezesha kuleta pesa nchini. Kwa k...
Kilimo huimarisha uchumi kwa kubuni nafasi za nini
Kazi
x
3297_swa_7
3297_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA NCHI YA KENYA Kilimo ndio uti wa mgongo wa nchi yetu ya Kenya. Kilimo kina manufaa ainati. Kilimo kinaweza kuimarisha nchi yetu kupitia kwa mauzo ya mazao ya kilimo. Mazao kama vile majani chai na kahawa yanauzwa katika nchi za ng'ambo na hivyo kuwezesha kuleta pesa nchini. Kwa k...
Kilimo huweza kupigana na janhga la nini nchini
Njaa
x
3297_swa_8
3297_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA NCHI YA KENYA Kilimo ndio uti wa mgongo wa nchi yetu ya Kenya. Kilimo kina manufaa ainati. Kilimo kinaweza kuimarisha nchi yetu kupitia kwa mauzo ya mazao ya kilimo. Mazao kama vile majani chai na kahawa yanauzwa katika nchi za ng'ambo na hivyo kuwezesha kuleta pesa nchini. Kwa k...
Kilimo kimeweza kuwaleta nani pamoja
Watu
x
3297_swa_9
3297_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA NCHI YA KENYA Kilimo ndio uti wa mgongo wa nchi yetu ya Kenya. Kilimo kina manufaa ainati. Kilimo kinaweza kuimarisha nchi yetu kupitia kwa mauzo ya mazao ya kilimo. Mazao kama vile majani chai na kahawa yanauzwa katika nchi za ng'ambo na hivyo kuwezesha kuleta pesa nchini. Kwa k...
Ujenzi wa viwanda mashinani umesaidia na nini
Watu wanaacha kuhamia mijini
x
3316_swa_0
3316_swa
MAZUNGUMZO BAINA YA DAKTARI NA MGONJWA KATIKA HOSPITALI YA KATI WAKIJADILIANA KUHUSU MAGONJWA TOFAUTI TOFAUTI (Daktari Kiho na mgonjwa Rukia wako ofisini kwa daktari, wamekaa wakiangaliana na mezani pale kuna kompyuta na vifaa vya kupimia wagonjwa. Wanajadiliana kuhusu magonjwa tofauti tofauti.) Rukia: (Anaingia tar...
Rukia anaumwa na wapi
Kichwa
x
3316_swa_1

Daktari anachukua nini mezani
Kifaa
x
3316_swa_2
3316_swa
MAZUNGUMZO BAINA YA DAKTARI NA MGONJWA KATIKA HOSPITALI YA KATI WAKIJADILIANA KUHUSU MAGONJWA TOFAUTI TOFAUTI (Daktari Kiho na mgonjwa Rukia wako ofisini kwa daktari, wamekaa wakiangaliana na mezani pale kuna kompyuta na vifaa vya kupimia wagonjwa. Wanajadiliana kuhusu magonjwa tofauti tofauti.) Rukia: (Anaingia tar...
Daktari anamdunga nini Rukia
Sindano
x
3316_swa_3
3316_swa
MAZUNGUMZO BAINA YA DAKTARI NA MGONJWA KATIKA HOSPITALI YA KATI WAKIJADILIANA KUHUSU MAGONJWA TOFAUTI TOFAUTI (Daktari Kiho na mgonjwa Rukia wako ofisini kwa daktari, wamekaa wakiangaliana na mezani pale kuna kompyuta na vifaa vya kupimia wagonjwa. Wanajadiliana kuhusu magonjwa tofauti tofauti.) Rukia: (Anaingia tar...
Rukia anafaa kulala ndani ya nini
Neti
x
3316_swa_4
3316_swa
MAZUNGUMZO BAINA YA DAKTARI NA MGONJWA KATIKA HOSPITALI YA KATI WAKIJADILIANA KUHUSU MAGONJWA TOFAUTI TOFAUTI (Daktari Kiho na mgonjwa Rukia wako ofisini kwa daktari, wamekaa wakiangaliana na mezani pale kuna kompyuta na vifaa vya kupimia wagonjwa. Wanajadiliana kuhusu magonjwa tofauti tofauti.) Rukia: (Anaingia tar...
Kwa nini daktari anamwambia malize dawa zile
Ili aweze kupona
x
3316_swa_5
3316_swa
MAZUNGUMZO BAINA YA DAKTARI NA MGONJWA KATIKA HOSPITALI YA KATI WAKIJADILIANA KUHUSU MAGONJWA TOFAUTI TOFAUTI (Daktari Kiho na mgonjwa Rukia wako ofisini kwa daktari, wamekaa wakiangaliana na mezani pale kuna kompyuta na vifaa vya kupimia wagonjwa. Wanajadiliana kuhusu magonjwa tofauti tofauti.) Rukia: (Anaingia tar...
Mgonjwa anaitwa nani
Rukia Mbone
x
3316_swa_6
3316_swa
MAZUNGUMZO BAINA YA DAKTARI NA MGONJWA KATIKA HOSPITALI YA KATI WAKIJADILIANA KUHUSU MAGONJWA TOFAUTI TOFAUTI (Daktari Kiho na mgonjwa Rukia wako ofisini kwa daktari, wamekaa wakiangaliana na mezani pale kuna kompyuta na vifaa vya kupimia wagonjwa. Wanajadiliana kuhusu magonjwa tofauti tofauti.) Rukia: (Anaingia tar...
Rukia anaumwa na wapi
Kichwa
x
3316_swa_7
3316_swa
MAZUNGUMZO BAINA YA DAKTARI NA MGONJWA KATIKA HOSPITALI YA KATI WAKIJADILIANA KUHUSU MAGONJWA TOFAUTI TOFAUTI (Daktari Kiho na mgonjwa Rukia wako ofisini kwa daktari, wamekaa wakiangaliana na mezani pale kuna kompyuta na vifaa vya kupimia wagonjwa. Wanajadiliana kuhusu magonjwa tofauti tofauti.) Rukia: (Anaingia tar...
Daktari atamchukua Rukia nini
Vipimo
x
3316_swa_8
3316_swa
MAZUNGUMZO BAINA YA DAKTARI NA MGONJWA KATIKA HOSPITALI YA KATI WAKIJADILIANA KUHUSU MAGONJWA TOFAUTI TOFAUTI (Daktari Kiho na mgonjwa Rukia wako ofisini kwa daktari, wamekaa wakiangaliana na mezani pale kuna kompyuta na vifaa vya kupimia wagonjwa. Wanajadiliana kuhusu magonjwa tofauti tofauti.) Rukia: (Anaingia tar...
Rukia anaugua ugonjwa upi
Malaria
x
3316_swa_9
3316_swa
MAZUNGUMZO BAINA YA DAKTARI NA MGONJWA KATIKA HOSPITALI YA KATI WAKIJADILIANA KUHUSU MAGONJWA TOFAUTI TOFAUTI (Daktari Kiho na mgonjwa Rukia wako ofisini kwa daktari, wamekaa wakiangaliana na mezani pale kuna kompyuta na vifaa vya kupimia wagonjwa. Wanajadiliana kuhusu magonjwa tofauti tofauti.) Rukia: (Anaingia tar...
Kwa nini Rukia amepata Malaria
Hajakuwa akilala ndani ya neti
x
3322_swa_0
3322_swa
UMUHIMU WA KILIMO KATIKA NCHI YA KENYA Kilimo ni upanzi wa mimea tofauti tofauti na ufugaji wa mifugo. Mbinu hii inatumika sehemu nyingi nchini Kenya. Kilimo imeleta manufaa mengi katika nchi ya Kenya. Yafuatayo ni manutaa ya kilimo katika nchi ya Kenya. Kwanza, kilimo kimeongeza idadi ya chakula nchini Kenya. Hii ni k...
Kilimo kimeleta manufaa mengi katika nchi gani
Kenya
x
3322_swa_1
3322_swa
UMUHIMU WA KILIMO KATIKA NCHI YA KENYA Kilimo ni upanzi wa mimea tofauti tofauti na ufugaji wa mifugo. Mbinu hii inatumika sehemu nyingi nchini Kenya. Kilimo imeleta manufaa mengi katika nchi ya Kenya. Yafuatayo ni manutaa ya kilimo katika nchi ya Kenya. Kwanza, kilimo kimeongeza idadi ya chakula nchini Kenya. Hii ni k...
Kilimo kimeongeza nini
Chakula
x
3322_swa_2

Kilimo inasaidia wananchi kupata nini ya kuimarisha maisha
Kazi
x
3322_swa_3
3322_swa
UMUHIMU WA KILIMO KATIKA NCHI YA KENYA Kilimo ni upanzi wa mimea tofauti tofauti na ufugaji wa mifugo. Mbinu hii inatumika sehemu nyingi nchini Kenya. Kilimo imeleta manufaa mengi katika nchi ya Kenya. Yafuatayo ni manutaa ya kilimo katika nchi ya Kenya. Kwanza, kilimo kimeongeza idadi ya chakula nchini Kenya. Hii ni k...
Kilimo imesaidia kupata pesa zipi
Za kigeni
x
3322_swa_4
3322_swa
UMUHIMU WA KILIMO KATIKA NCHI YA KENYA Kilimo ni upanzi wa mimea tofauti tofauti na ufugaji wa mifugo. Mbinu hii inatumika sehemu nyingi nchini Kenya. Kilimo imeleta manufaa mengi katika nchi ya Kenya. Yafuatayo ni manutaa ya kilimo katika nchi ya Kenya. Kwanza, kilimo kimeongeza idadi ya chakula nchini Kenya. Hii ni k...
Mchango wa serikali ni upi katika kilimo
Kuwaelimisha wananchi umuhimu wa kilimo
x
3322_swa_5
3322_swa
UMUHIMU WA KILIMO KATIKA NCHI YA KENYA Kilimo ni upanzi wa mimea tofauti tofauti na ufugaji wa mifugo. Mbinu hii inatumika sehemu nyingi nchini Kenya. Kilimo imeleta manufaa mengi katika nchi ya Kenya. Yafuatayo ni manutaa ya kilimo katika nchi ya Kenya. Kwanza, kilimo kimeongeza idadi ya chakula nchini Kenya. Hii ni k...
Ni nini upandaji wa mimea tofauti
Kilimo
x
3322_swa_6
3322_swa
UMUHIMU WA KILIMO KATIKA NCHI YA KENYA Kilimo ni upanzi wa mimea tofauti tofauti na ufugaji wa mifugo. Mbinu hii inatumika sehemu nyingi nchini Kenya. Kilimo imeleta manufaa mengi katika nchi ya Kenya. Yafuatayo ni manutaa ya kilimo katika nchi ya Kenya. Kwanza, kilimo kimeongeza idadi ya chakula nchini Kenya. Hii ni k...
Kilimo kimeongeza idadi ya chakula nchini wapi
Kenya
x
3322_swa_7
3322_swa
UMUHIMU WA KILIMO KATIKA NCHI YA KENYA Kilimo ni upanzi wa mimea tofauti tofauti na ufugaji wa mifugo. Mbinu hii inatumika sehemu nyingi nchini Kenya. Kilimo imeleta manufaa mengi katika nchi ya Kenya. Yafuatayo ni manutaa ya kilimo katika nchi ya Kenya. Kwanza, kilimo kimeongeza idadi ya chakula nchini Kenya. Hii ni k...
Kilimo inawasaidia wananchi kupata nini
Kazi
x
3322_swa_8
3322_swa
UMUHIMU WA KILIMO KATIKA NCHI YA KENYA Kilimo ni upanzi wa mimea tofauti tofauti na ufugaji wa mifugo. Mbinu hii inatumika sehemu nyingi nchini Kenya. Kilimo imeleta manufaa mengi katika nchi ya Kenya. Yafuatayo ni manutaa ya kilimo katika nchi ya Kenya. Kwanza, kilimo kimeongeza idadi ya chakula nchini Kenya. Hii ni k...
Kilimo imesaidia Serikali kupata nini
Pesa
x
3322_swa_9
3322_swa
UMUHIMU WA KILIMO KATIKA NCHI YA KENYA Kilimo ni upanzi wa mimea tofauti tofauti na ufugaji wa mifugo. Mbinu hii inatumika sehemu nyingi nchini Kenya. Kilimo imeleta manufaa mengi katika nchi ya Kenya. Yafuatayo ni manutaa ya kilimo katika nchi ya Kenya. Kwanza, kilimo kimeongeza idadi ya chakula nchini Kenya. Hii ni k...
Ni vipi kilimo hupunguza umaskini
Kwa vile watu wanapata vyakula
x
3323_swa_0
3323_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo ndiyo njia kuu ya kuimarisha uchumi katika nchi ya Kenya. Karibu asilimia 80 ya wakenya huchangia katika kilimo kama kazi yao ya kila siku na hata pia huuzwa ili kupata pesa za kutumia kwa vitu mbalimbali. Kilimo huimarisha uchumi wa Kenya kwa njia zifuataz...
Ni nini njia kuu ya kuimarisha uchumi
Kilimo
x
3323_swa_1
3323_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo ndiyo njia kuu ya kuimarisha uchumi katika nchi ya Kenya. Karibu asilimia 80 ya wakenya huchangia katika kilimo kama kazi yao ya kila siku na hata pia huuzwa ili kupata pesa za kutumia kwa vitu mbalimbali. Kilimo huimarisha uchumi wa Kenya kwa njia zifuataz...
Asilimia gani huchangia katika elimu
80%
x
3323_swa_2
3323_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo ndiyo njia kuu ya kuimarisha uchumi katika nchi ya Kenya. Karibu asilimia 80 ya wakenya huchangia katika kilimo kama kazi yao ya kila siku na hata pia huuzwa ili kupata pesa za kutumia kwa vitu mbalimbali. Kilimo huimarisha uchumi wa Kenya kwa njia zifuataz...
Kilimo cha nini huchangia mlo
Mahindi
x
3323_swa_3
3323_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo ndiyo njia kuu ya kuimarisha uchumi katika nchi ya Kenya. Karibu asilimia 80 ya wakenya huchangia katika kilimo kama kazi yao ya kila siku na hata pia huuzwa ili kupata pesa za kutumia kwa vitu mbalimbali. Kilimo huimarisha uchumi wa Kenya kwa njia zifuataz...
Kilimo cha uvuvi husaidia kuimarisha nini
Uchumi
x
3323_swa_4
3323_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo ndiyo njia kuu ya kuimarisha uchumi katika nchi ya Kenya. Karibu asilimia 80 ya wakenya huchangia katika kilimo kama kazi yao ya kila siku na hata pia huuzwa ili kupata pesa za kutumia kwa vitu mbalimbali. Kilimo huimarisha uchumi wa Kenya kwa njia zifuataz...
Ni nini jukumu la mkenya
Kutoa umaskini na kutushidia shida
x
3323_swa_5
3323_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo ndiyo njia kuu ya kuimarisha uchumi katika nchi ya Kenya. Karibu asilimia 80 ya wakenya huchangia katika kilimo kama kazi yao ya kila siku na hata pia huuzwa ili kupata pesa za kutumia kwa vitu mbalimbali. Kilimo huimarisha uchumi wa Kenya kwa njia zifuataz...
Kilimo ni njia kuu ya kuimarisha nini
Uchumi
x
3323_swa_6
3323_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo ndiyo njia kuu ya kuimarisha uchumi katika nchi ya Kenya. Karibu asilimia 80 ya wakenya huchangia katika kilimo kama kazi yao ya kila siku na hata pia huuzwa ili kupata pesa za kutumia kwa vitu mbalimbali. Kilimo huimarisha uchumi wa Kenya kwa njia zifuataz...
Kilimo cha mahindi husaidia watu kupata nini
Mlo
x
3323_swa_7
3323_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo ndiyo njia kuu ya kuimarisha uchumi katika nchi ya Kenya. Karibu asilimia 80 ya wakenya huchangia katika kilimo kama kazi yao ya kila siku na hata pia huuzwa ili kupata pesa za kutumia kwa vitu mbalimbali. Kilimo huimarisha uchumi wa Kenya kwa njia zifuataz...
Kilimo cha samaki husaidia kuimarisha uchumi wa nini
Kenya
x
3323_swa_8
3323_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo ndiyo njia kuu ya kuimarisha uchumi katika nchi ya Kenya. Karibu asilimia 80 ya wakenya huchangia katika kilimo kama kazi yao ya kila siku na hata pia huuzwa ili kupata pesa za kutumia kwa vitu mbalimbali. Kilimo huimarisha uchumi wa Kenya kwa njia zifuataz...
Ni nini husaidia kupata nyama na maziwa
Mifugo
x
3323_swa_9
3323_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo ndiyo njia kuu ya kuimarisha uchumi katika nchi ya Kenya. Karibu asilimia 80 ya wakenya huchangia katika kilimo kama kazi yao ya kila siku na hata pia huuzwa ili kupata pesa za kutumia kwa vitu mbalimbali. Kilimo huimarisha uchumi wa Kenya kwa njia zifuataz...
Ni kwa vipi kilimo huwa na manufaa mengi
Kwa kuchangia kumaliza umaskini
x
3617_swa_0
3617_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo ni kazi ya kulima na kupanda mazao shambani. Humu nchini, kilimo kínatekelezwa na kila mja ila kwa kiwango cha juu zaidi na wakulima. Wakulima wa taifa la Kenya wamejitolea kwa hamu na ghamu kuwajibika katika upanzi wa mimea tofauti. Mimea hii ikipandwa, in...
Ni nini kazi ya kulima na kupanda mazao
Kilimo
x
3617_swa_1
3617_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo ni kazi ya kulima na kupanda mazao shambani. Humu nchini, kilimo kínatekelezwa na kila mja ila kwa kiwango cha juu zaidi na wakulima. Wakulima wa taifa la Kenya wamejitolea kwa hamu na ghamu kuwajibika katika upanzi wa mimea tofauti. Mimea hii ikipandwa, in...
Mojawapo ya mazao yanayotokana na kilimo ni nini
Chakula
x
3617_swa_2
3617_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo ni kazi ya kulima na kupanda mazao shambani. Humu nchini, kilimo kínatekelezwa na kila mja ila kwa kiwango cha juu zaidi na wakulima. Wakulima wa taifa la Kenya wamejitolea kwa hamu na ghamu kuwajibika katika upanzi wa mimea tofauti. Mimea hii ikipandwa, in...
Ni nini wameweza kufugwa nchini
Wanyama
x
3617_swa_3
3617_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo ni kazi ya kulima na kupanda mazao shambani. Humu nchini, kilimo kínatekelezwa na kila mja ila kwa kiwango cha juu zaidi na wakulima. Wakulima wa taifa la Kenya wamejitolea kwa hamu na ghamu kuwajibika katika upanzi wa mimea tofauti. Mimea hii ikipandwa, in...
Wanyama hutupa nini
Mbolea
x
3617_swa_4
3617_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo ni kazi ya kulima na kupanda mazao shambani. Humu nchini, kilimo kínatekelezwa na kila mja ila kwa kiwango cha juu zaidi na wakulima. Wakulima wa taifa la Kenya wamejitolea kwa hamu na ghamu kuwajibika katika upanzi wa mimea tofauti. Mimea hii ikipandwa, in...
Ni vipi wakulima watapewa motisha
Kuwalipa vizuri katika kazi ya kilimo
x
3617_swa_5
3617_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo ni kazi ya kulima na kupanda mazao shambani. Humu nchini, kilimo kínatekelezwa na kila mja ila kwa kiwango cha juu zaidi na wakulima. Wakulima wa taifa la Kenya wamejitolea kwa hamu na ghamu kuwajibika katika upanzi wa mimea tofauti. Mimea hii ikipandwa, in...
Ni nini kazi ya kupanda mazao shambani
Kilimo
x
3617_swa_6
3617_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo ni kazi ya kulima na kupanda mazao shambani. Humu nchini, kilimo kínatekelezwa na kila mja ila kwa kiwango cha juu zaidi na wakulima. Wakulima wa taifa la Kenya wamejitolea kwa hamu na ghamu kuwajibika katika upanzi wa mimea tofauti. Mimea hii ikipandwa, in...
Chakula hutokana na nini
Kilimo
x
3617_swa_7
3617_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo ni kazi ya kulima na kupanda mazao shambani. Humu nchini, kilimo kínatekelezwa na kila mja ila kwa kiwango cha juu zaidi na wakulima. Wakulima wa taifa la Kenya wamejitolea kwa hamu na ghamu kuwajibika katika upanzi wa mimea tofauti. Mimea hii ikipandwa, in...
Mazao mengine hutumika kama nini
Dawa
x
3617_swa_8
3617_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo ni kazi ya kulima na kupanda mazao shambani. Humu nchini, kilimo kínatekelezwa na kila mja ila kwa kiwango cha juu zaidi na wakulima. Wakulima wa taifa la Kenya wamejitolea kwa hamu na ghamu kuwajibika katika upanzi wa mimea tofauti. Mimea hii ikipandwa, in...
Mazao yanaweza kusafirishwa wapi
Ughaibuni
x
3617_swa_9
3617_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KENYA Kilimo ni kazi ya kulima na kupanda mazao shambani. Humu nchini, kilimo kínatekelezwa na kila mja ila kwa kiwango cha juu zaidi na wakulima. Wakulima wa taifa la Kenya wamejitolea kwa hamu na ghamu kuwajibika katika upanzi wa mimea tofauti. Mimea hii ikipandwa, in...
Serikali inachangia vipi katika kilimo
Serikali inawapa wakulima ushauri
x
3620_swa_0
3620_swa
SIASA ZA MIGAWANYIKO NA ATHARI YAKE KWA JAMII AU NCHI Ikhlas! Ama kweli, wahenga na wahenguzi hawakukosea walipolonga kuwa umoja ni nguva na utengano ni udhaifu. Kwa kweli, kidole kimoja hakiwezi kuuwa chawa. Ili kufaulu katika maisha, twahitai utengamano. Maisha ni kama mushumaa unaowaka na kisha kuisha. Mbona tukuze ...
Umoja ni nguvu utengano ni?
Udhaifu
x
3620_swa_1
3620_swa
SIASA ZA MIGAWANYIKO NA ATHARI YAKE KWA JAMII AU NCHI Ikhlas! Ama kweli, wahenga na wahenguzi hawakukosea walipolonga kuwa umoja ni nguva na utengano ni udhaifu. Kwa kweli, kidole kimoja hakiwezi kuuwa chawa. Ili kufaulu katika maisha, twahitai utengamano. Maisha ni kama mushumaa unaowaka na kisha kuisha. Mbona tukuze ...
Katika siasa za migawanyiko ni nadra sana kukoseka nini?
Vita
x
3620_swa_2
3620_swa
SIASA ZA MIGAWANYIKO NA ATHARI YAKE KWA JAMII AU NCHI Ikhlas! Ama kweli, wahenga na wahenguzi hawakukosea walipolonga kuwa umoja ni nguva na utengano ni udhaifu. Kwa kweli, kidole kimoja hakiwezi kuuwa chawa. Ili kufaulu katika maisha, twahitai utengamano. Maisha ni kama mushumaa unaowaka na kisha kuisha. Mbona tukuze ...
Siasa nzuri huboresha nini?
Uchumi
x
3620_swa_3
3620_swa
SIASA ZA MIGAWANYIKO NA ATHARI YAKE KWA JAMII AU NCHI Ikhlas! Ama kweli, wahenga na wahenguzi hawakukosea walipolonga kuwa umoja ni nguva na utengano ni udhaifu. Kwa kweli, kidole kimoja hakiwezi kuuwa chawa. Ili kufaulu katika maisha, twahitai utengamano. Maisha ni kama mushumaa unaowaka na kisha kuisha. Mbona tukuze ...
Vita hueneza nini?
Chuki
x
3620_swa_4

Kidole kimoja hakivunji nini?
Chawa
x
3620_swa_5
3620_swa
SIASA ZA MIGAWANYIKO NA ATHARI YAKE KWA JAMII AU NCHI Ikhlas! Ama kweli, wahenga na wahenguzi hawakukosea walipolonga kuwa umoja ni nguva na utengano ni udhaifu. Kwa kweli, kidole kimoja hakiwezi kuuwa chawa. Ili kufaulu katika maisha, twahitai utengamano. Maisha ni kama mushumaa unaowaka na kisha kuisha. Mbona tukuze ...
Umoja ni nguvu na utengano ni nini?
Udhaifu
x
3620_swa_6
3620_swa
SIASA ZA MIGAWANYIKO NA ATHARI YAKE KWA JAMII AU NCHI Ikhlas! Ama kweli, wahenga na wahenguzi hawakukosea walipolonga kuwa umoja ni nguva na utengano ni udhaifu. Kwa kweli, kidole kimoja hakiwezi kuuwa chawa. Ili kufaulu katika maisha, twahitai utengamano. Maisha ni kama mushumaa unaowaka na kisha kuisha. Mbona tukuze ...
Kidole kimoja hakiwezi kuvunja nani?
Chawa
x
3620_swa_7
3620_swa
SIASA ZA MIGAWANYIKO NA ATHARI YAKE KWA JAMII AU NCHI Ikhlas! Ama kweli, wahenga na wahenguzi hawakukosea walipolonga kuwa umoja ni nguva na utengano ni udhaifu. Kwa kweli, kidole kimoja hakiwezi kuuwa chawa. Ili kufaulu katika maisha, twahitai utengamano. Maisha ni kama mushumaa unaowaka na kisha kuisha. Mbona tukuze ...
Undungu si kufanana bali ni?
Kufaana
x
3620_swa_8
3620_swa
SIASA ZA MIGAWANYIKO NA ATHARI YAKE KWA JAMII AU NCHI Ikhlas! Ama kweli, wahenga na wahenguzi hawakukosea walipolonga kuwa umoja ni nguva na utengano ni udhaifu. Kwa kweli, kidole kimoja hakiwezi kuuwa chawa. Ili kufaulu katika maisha, twahitai utengamano. Maisha ni kama mushumaa unaowaka na kisha kuisha. Mbona tukuze ...
Katika siasa za mgawanyiko, ni nadra kukose nini?
Vita
x
3620_swa_9
3620_swa
SIASA ZA MIGAWANYIKO NA ATHARI YAKE KWA JAMII AU NCHI Ikhlas! Ama kweli, wahenga na wahenguzi hawakukosea walipolonga kuwa umoja ni nguva na utengano ni udhaifu. Kwa kweli, kidole kimoja hakiwezi kuuwa chawa. Ili kufaulu katika maisha, twahitai utengamano. Maisha ni kama mushumaa unaowaka na kisha kuisha. Mbona tukuze ...
Nani wanaendeleza siasa za mgawanyiko?
Viongozi
x
3625_swa_0
3625_swa
MADHARA YA UHUSIANO WA KIMAPENZI MIONGONI MWA VIJANA Vijana wengi wamejihusisha siku hizi na uhusiano wa kimapenzi ambacho ni chanzo cha uozo katika jamii. Vijana wengi wanahusisha na vitendo hivi kutokana na shinikizo la marafiki wenzao wengine na kutokana na ulezi mbaya. Uhusiano huu huleta madhara mengi ambayo huath...
Vijana wamejihusisha na uhusiano wa nini
Kimapenzi
x
3625_swa_1
3625_swa
MADHARA YA UHUSIANO WA KIMAPENZI MIONGONI MWA VIJANA Vijana wengi wamejihusisha siku hizi na uhusiano wa kimapenzi ambacho ni chanzo cha uozo katika jamii. Vijana wengi wanahusisha na vitendo hivi kutokana na shinikizo la marafiki wenzao wengine na kutokana na ulezi mbaya. Uhusiano huu huleta madhara mengi ambayo huath...
Ni nini hutokana na uhusiano wa kimapenzi
vifo
x
3625_swa_2
3625_swa
MADHARA YA UHUSIANO WA KIMAPENZI MIONGONI MWA VIJANA Vijana wengi wamejihusisha siku hizi na uhusiano wa kimapenzi ambacho ni chanzo cha uozo katika jamii. Vijana wengi wanahusisha na vitendo hivi kutokana na shinikizo la marafiki wenzao wengine na kutokana na ulezi mbaya. Uhusiano huu huleta madhara mengi ambayo huath...
Uhusiano wa kimapenzi umeleta matumizi ya dawa zipi
Kulevya
x
3625_swa_3
3625_swa
MADHARA YA UHUSIANO WA KIMAPENZI MIONGONI MWA VIJANA Vijana wengi wamejihusisha siku hizi na uhusiano wa kimapenzi ambacho ni chanzo cha uozo katika jamii. Vijana wengi wanahusisha na vitendo hivi kutokana na shinikizo la marafiki wenzao wengine na kutokana na ulezi mbaya. Uhusiano huu huleta madhara mengi ambayo huath...
Vijana wanafaa kuwa na marafiki aina gani
Wema
x
3625_swa_4
3625_swa
MADHARA YA UHUSIANO WA KIMAPENZI MIONGONI MWA VIJANA Vijana wengi wamejihusisha siku hizi na uhusiano wa kimapenzi ambacho ni chanzo cha uozo katika jamii. Vijana wengi wanahusisha na vitendo hivi kutokana na shinikizo la marafiki wenzao wengine na kutokana na ulezi mbaya. Uhusiano huu huleta madhara mengi ambayo huath...
Ni nini husababisha uja uzito kwa vijana
Uhusiano wa kimapenzi miongoni mwa vijana
x
3625_swa_5
3625_swa
MADHARA YA UHUSIANO WA KIMAPENZI MIONGONI MWA VIJANA Vijana wengi wamejihusisha siku hizi na uhusiano wa kimapenzi ambacho ni chanzo cha uozo katika jamii. Vijana wengi wanahusisha na vitendo hivi kutokana na shinikizo la marafiki wenzao wengine na kutokana na ulezi mbaya. Uhusiano huu huleta madhara mengi ambayo huath...
Nani wanajihusisha na mapenzi
vijana
x
3625_swa_6
3625_swa
MADHARA YA UHUSIANO WA KIMAPENZI MIONGONI MWA VIJANA Vijana wengi wamejihusisha siku hizi na uhusiano wa kimapenzi ambacho ni chanzo cha uozo katika jamii. Vijana wengi wanahusisha na vitendo hivi kutokana na shinikizo la marafiki wenzao wengine na kutokana na ulezi mbaya. Uhusiano huu huleta madhara mengi ambayo huath...
Mimba za mapema zinawapata vijana walioko wapi
Shuleni
x
3625_swa_7
3625_swa
MADHARA YA UHUSIANO WA KIMAPENZI MIONGONI MWA VIJANA Vijana wengi wamejihusisha siku hizi na uhusiano wa kimapenzi ambacho ni chanzo cha uozo katika jamii. Vijana wengi wanahusisha na vitendo hivi kutokana na shinikizo la marafiki wenzao wengine na kutokana na ulezi mbaya. Uhusiano huu huleta madhara mengi ambayo huath...
Vijana wanajihusha na mapenzi kwa sababu ya ushauri mgani
mbaya
x
3625_swa_8
3625_swa
MADHARA YA UHUSIANO WA KIMAPENZI MIONGONI MWA VIJANA Vijana wengi wamejihusisha siku hizi na uhusiano wa kimapenzi ambacho ni chanzo cha uozo katika jamii. Vijana wengi wanahusisha na vitendo hivi kutokana na shinikizo la marafiki wenzao wengine na kutokana na ulezi mbaya. Uhusiano huu huleta madhara mengi ambayo huath...
Vifo vya mapema hutokana na uhusiano wa nini
Kimapenzi
x
3625_swa_9
3625_swa
MADHARA YA UHUSIANO WA KIMAPENZI MIONGONI MWA VIJANA Vijana wengi wamejihusisha siku hizi na uhusiano wa kimapenzi ambacho ni chanzo cha uozo katika jamii. Vijana wengi wanahusisha na vitendo hivi kutokana na shinikizo la marafiki wenzao wengine na kutokana na ulezi mbaya. Uhusiano huu huleta madhara mengi ambayo huath...
Kwa nini ugonjwa wa ukimwi unaenea
Kutokana na uhusiano wa kimapenzi wa mapema
x
3629_swa_0
3629_swa
HOTUBA KUHUSU JINSI YA KUJIANDAA KWA MTIHANI WA KITAIFA “Mkuu wa elimu wilayani, mwalimu mkuu, wakuu wa idara, walimu, mkuu wa wanafunzi na wanafunzi wenzangu, hamjambo. Nachukua fursa hii adimu kuwakaribisha katika mkutano huu wa leo tuliokuwa tumeungojea kwa hamu na ghamu. Azma kuu ya mkutano huu, kama mnavyojua, ni ...
Anataka kutoa nini
Hotuba
x
3629_swa_1
3629_swa
HOTUBA KUHUSU JINSI YA KUJIANDAA KWA MTIHANI WA KITAIFA “Mkuu wa elimu wilayani, mwalimu mkuu, wakuu wa idara, walimu, mkuu wa wanafunzi na wanafunzi wenzangu, hamjambo. Nachukua fursa hii adimu kuwakaribisha katika mkutano huu wa leo tuliokuwa tumeungojea kwa hamu na ghamu. Azma kuu ya mkutano huu, kama mnavyojua, ni ...
Mtihani wa kitaifa ni nini
Daraja
x
3629_swa_2
3629_swa
HOTUBA KUHUSU JINSI YA KUJIANDAA KWA MTIHANI WA KITAIFA “Mkuu wa elimu wilayani, mwalimu mkuu, wakuu wa idara, walimu, mkuu wa wanafunzi na wanafunzi wenzangu, hamjambo. Nachukua fursa hii adimu kuwakaribisha katika mkutano huu wa leo tuliokuwa tumeungojea kwa hamu na ghamu. Azma kuu ya mkutano huu, kama mnavyojua, ni ...
Ni lazima ujitolee nini ili kufaulu
mhanga
x
3629_swa_3
3629_swa
HOTUBA KUHUSU JINSI YA KUJIANDAA KWA MTIHANI WA KITAIFA “Mkuu wa elimu wilayani, mwalimu mkuu, wakuu wa idara, walimu, mkuu wa wanafunzi na wanafunzi wenzangu, hamjambo. Nachukua fursa hii adimu kuwakaribisha katika mkutano huu wa leo tuliokuwa tumeungojea kwa hamu na ghamu. Azma kuu ya mkutano huu, kama mnavyojua, ni ...
Mwanafunzi ahudhurie masomo ya nini
Maktaba
x
3629_swa_4
3629_swa
HOTUBA KUHUSU JINSI YA KUJIANDAA KWA MTIHANI WA KITAIFA “Mkuu wa elimu wilayani, mwalimu mkuu, wakuu wa idara, walimu, mkuu wa wanafunzi na wanafunzi wenzangu, hamjambo. Nachukua fursa hii adimu kuwakaribisha katika mkutano huu wa leo tuliokuwa tumeungojea kwa hamu na ghamu. Azma kuu ya mkutano huu, kama mnavyojua, ni ...
Kwa nini mwanafunzi anahitaji wakati wa kupumzika
Ili kutuliza akili wakati imechoka
x
3629_swa_5
3629_swa
HOTUBA KUHUSU JINSI YA KUJIANDAA KWA MTIHANI WA KITAIFA “Mkuu wa elimu wilayani, mwalimu mkuu, wakuu wa idara, walimu, mkuu wa wanafunzi na wanafunzi wenzangu, hamjambo. Nachukua fursa hii adimu kuwakaribisha katika mkutano huu wa leo tuliokuwa tumeungojea kwa hamu na ghamu. Azma kuu ya mkutano huu, kama mnavyojua, ni ...
Azma ya hotuba ni jinsi ya kujiandaa kwa mitihani ipi
Kitaifa
x
3629_swa_6
3629_swa
HOTUBA KUHUSU JINSI YA KUJIANDAA KWA MTIHANI WA KITAIFA “Mkuu wa elimu wilayani, mwalimu mkuu, wakuu wa idara, walimu, mkuu wa wanafunzi na wanafunzi wenzangu, hamjambo. Nachukua fursa hii adimu kuwakaribisha katika mkutano huu wa leo tuliokuwa tumeungojea kwa hamu na ghamu. Azma kuu ya mkutano huu, kama mnavyojua, ni ...
Mwanafunzi hudurusu ni aliyokuwa amesahau hapo awali
Masomo
x
3629_swa_7
3629_swa
HOTUBA KUHUSU JINSI YA KUJIANDAA KWA MTIHANI WA KITAIFA “Mkuu wa elimu wilayani, mwalimu mkuu, wakuu wa idara, walimu, mkuu wa wanafunzi na wanafunzi wenzangu, hamjambo. Nachukua fursa hii adimu kuwakaribisha katika mkutano huu wa leo tuliokuwa tumeungojea kwa hamu na ghamu. Azma kuu ya mkutano huu, kama mnavyojua, ni ...
Ukitaka kufaulu ni lazima ujitolee nini
mhanga
x
3629_swa_8
3629_swa
HOTUBA KUHUSU JINSI YA KUJIANDAA KWA MTIHANI WA KITAIFA “Mkuu wa elimu wilayani, mwalimu mkuu, wakuu wa idara, walimu, mkuu wa wanafunzi na wanafunzi wenzangu, hamjambo. Nachukua fursa hii adimu kuwakaribisha katika mkutano huu wa leo tuliokuwa tumeungojea kwa hamu na ghamu. Azma kuu ya mkutano huu, kama mnavyojua, ni ...
Ukitaka kufaulu unawatafuta nani
Walimu
x
3629_swa_9
3629_swa
HOTUBA KUHUSU JINSI YA KUJIANDAA KWA MTIHANI WA KITAIFA “Mkuu wa elimu wilayani, mwalimu mkuu, wakuu wa idara, walimu, mkuu wa wanafunzi na wanafunzi wenzangu, hamjambo. Nachukua fursa hii adimu kuwakaribisha katika mkutano huu wa leo tuliokuwa tumeungojea kwa hamu na ghamu. Azma kuu ya mkutano huu, kama mnavyojua, ni ...
Nidhani husaidia vipi kufaulu masomoni
Kwa kuzingatia ratiba ya shule
x
3650_swa_0
3650_swa
MWENDA TEZI NA OMO MAREJEO NGAMANI. Maana ya nje ya methali hii ni tezi Sehemu ya mbele ya jahazi, omo ni sehemu ya katikati wanapoketi abiria. Methali hii hutumiwa kuwashauri watu wenye tabia ya kujiona wao ni tofauti na wenzao Mwishowe watu hao huaibika na kurudia mahali pao katika jamii.Methali yenye maana sawa na h...
Ghulamu anaitwa nani
Kauleni
x
3650_swa_1

Kauleni aliishi katika kitongoji kipi
Magomeni
x
3650_swa_2
3650_swa
MWENDA TEZI NA OMO MAREJEO NGAMANI. Maana ya nje ya methali hii ni tezi Sehemu ya mbele ya jahazi, omo ni sehemu ya katikati wanapoketi abiria. Methali hii hutumiwa kuwashauri watu wenye tabia ya kujiona wao ni tofauti na wenzao Mwishowe watu hao huaibika na kurudia mahali pao katika jamii.Methali yenye maana sawa na h...
Kauleni alijiunga na shule ipi
Busuamka
x
3650_swa_3
3650_swa
MWENDA TEZI NA OMO MAREJEO NGAMANI. Maana ya nje ya methali hii ni tezi Sehemu ya mbele ya jahazi, omo ni sehemu ya katikati wanapoketi abiria. Methali hii hutumiwa kuwashauri watu wenye tabia ya kujiona wao ni tofauti na wenzao Mwishowe watu hao huaibika na kurudia mahali pao katika jamii.Methali yenye maana sawa na h...
Kauleni aliazimia kuwa nini
Daktari
x
3650_swa_4
3650_swa
MWENDA TEZI NA OMO MAREJEO NGAMANI. Maana ya nje ya methali hii ni tezi Sehemu ya mbele ya jahazi, omo ni sehemu ya katikati wanapoketi abiria. Methali hii hutumiwa kuwashauri watu wenye tabia ya kujiona wao ni tofauti na wenzao Mwishowe watu hao huaibika na kurudia mahali pao katika jamii.Methali yenye maana sawa na h...
mbona machozi ya simanzi yalimtoka Kauleni
Alimpoteza mamake
x
3650_swa_5
3650_swa
MWENDA TEZI NA OMO MAREJEO NGAMANI. Maana ya nje ya methali hii ni tezi Sehemu ya mbele ya jahazi, omo ni sehemu ya katikati wanapoketi abiria. Methali hii hutumiwa kuwashauri watu wenye tabia ya kujiona wao ni tofauti na wenzao Mwishowe watu hao huaibika na kurudia mahali pao katika jamii.Methali yenye maana sawa na h...
Hapo zamani palikuwa na jamaa aliyeitwa nani
Kauleni
x
3650_swa_6
3650_swa
MWENDA TEZI NA OMO MAREJEO NGAMANI. Maana ya nje ya methali hii ni tezi Sehemu ya mbele ya jahazi, omo ni sehemu ya katikati wanapoketi abiria. Methali hii hutumiwa kuwashauri watu wenye tabia ya kujiona wao ni tofauti na wenzao Mwishowe watu hao huaibika na kurudia mahali pao katika jamii.Methali yenye maana sawa na h...
Kauleni alijiunga na shule gani
Busuamka
x
3650_swa_7
3650_swa
MWENDA TEZI NA OMO MAREJEO NGAMANI. Maana ya nje ya methali hii ni tezi Sehemu ya mbele ya jahazi, omo ni sehemu ya katikati wanapoketi abiria. Methali hii hutumiwa kuwashauri watu wenye tabia ya kujiona wao ni tofauti na wenzao Mwishowe watu hao huaibika na kurudia mahali pao katika jamii.Methali yenye maana sawa na h...
Kauleni alisomea nini chuoni
udaktari
x
3650_swa_8
3650_swa
MWENDA TEZI NA OMO MAREJEO NGAMANI. Maana ya nje ya methali hii ni tezi Sehemu ya mbele ya jahazi, omo ni sehemu ya katikati wanapoketi abiria. Methali hii hutumiwa kuwashauri watu wenye tabia ya kujiona wao ni tofauti na wenzao Mwishowe watu hao huaibika na kurudia mahali pao katika jamii.Methali yenye maana sawa na h...
Kauleni alipopata pesa aliingiwa na nini
Kiburi
x
3650_swa_9
3650_swa
MWENDA TEZI NA OMO MAREJEO NGAMANI. Maana ya nje ya methali hii ni tezi Sehemu ya mbele ya jahazi, omo ni sehemu ya katikati wanapoketi abiria. Methali hii hutumiwa kuwashauri watu wenye tabia ya kujiona wao ni tofauti na wenzao Mwishowe watu hao huaibika na kurudia mahali pao katika jamii.Methali yenye maana sawa na h...
Kwa nini Kauleni alipigwa kalamu
Alivaa miwani na kukosa kuwajibika
x
3655_swa_0
3655_swa
NJIA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA LUGHA YA KISWAHILI NCHINI KENYA. Lugha ya Kiswahili ni mojawapo ya lughu inayozungumzwa Afrika hasa, Africa mashariki. Nchi ya Tanzania na Kenya zimeidhinisha Kiswahili kuwa lugha rasmi ya taifa. Lugha ya Kiswahili inayozungumzua nchini humo zinatokana na lahaja ya Ugunja. Lugha ya kiswa...
Ni ipi llugha ya taifa nchini Kenya na Tanzania
Kiswahili
x
3655_swa_1
3655_swa
NJIA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA LUGHA YA KISWAHILI NCHINI KENYA. Lugha ya Kiswahili ni mojawapo ya lughu inayozungumzwa Afrika hasa, Africa mashariki. Nchi ya Tanzania na Kenya zimeidhinisha Kiswahili kuwa lugha rasmi ya taifa. Lugha ya Kiswahili inayozungumzua nchini humo zinatokana na lahaja ya Ugunja. Lugha ya kiswa...
Kiswahili kinatumiwa kama lugha mojawapo wapi
Umoja wa mataifa
x
3655_swa_2
3655_swa
NJIA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA LUGHA YA KISWAHILI NCHINI KENYA. Lugha ya Kiswahili ni mojawapo ya lughu inayozungumzwa Afrika hasa, Africa mashariki. Nchi ya Tanzania na Kenya zimeidhinisha Kiswahili kuwa lugha rasmi ya taifa. Lugha ya Kiswahili inayozungumzua nchini humo zinatokana na lahaja ya Ugunja. Lugha ya kiswa...
Kiswahili kinafaa kitumiwe kama lugha rasmi wapi
Utangazaji
x
3655_swa_3
3655_swa
NJIA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA LUGHA YA KISWAHILI NCHINI KENYA. Lugha ya Kiswahili ni mojawapo ya lughu inayozungumzwa Afrika hasa, Africa mashariki. Nchi ya Tanzania na Kenya zimeidhinisha Kiswahili kuwa lugha rasmi ya taifa. Lugha ya Kiswahili inayozungumzua nchini humo zinatokana na lahaja ya Ugunja. Lugha ya kiswa...
Masomo shuleni yanafaa yaandikwe kwa lugha ipi
Kiswahili
x
3655_swa_4
3655_swa
NJIA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA LUGHA YA KISWAHILI NCHINI KENYA. Lugha ya Kiswahili ni mojawapo ya lughu inayozungumzwa Afrika hasa, Africa mashariki. Nchi ya Tanzania na Kenya zimeidhinisha Kiswahili kuwa lugha rasmi ya taifa. Lugha ya Kiswahili inayozungumzua nchini humo zinatokana na lahaja ya Ugunja. Lugha ya kiswa...
Ni vipi lugha ya Kiswahili itafaidi ikifunzwa kama lugha ya kigeni
Kwa kazi ya ualimu
x
3655_swa_5
3655_swa
NJIA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA LUGHA YA KISWAHILI NCHINI KENYA. Lugha ya Kiswahili ni mojawapo ya lughu inayozungumzwa Afrika hasa, Africa mashariki. Nchi ya Tanzania na Kenya zimeidhinisha Kiswahili kuwa lugha rasmi ya taifa. Lugha ya Kiswahili inayozungumzua nchini humo zinatokana na lahaja ya Ugunja. Lugha ya kiswa...
Tanzania na Kenya wameidhinisha Kiswahili kama lugha ya nini
Taifa
x
3655_swa_6
3655_swa
NJIA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA LUGHA YA KISWAHILI NCHINI KENYA. Lugha ya Kiswahili ni mojawapo ya lughu inayozungumzwa Afrika hasa, Africa mashariki. Nchi ya Tanzania na Kenya zimeidhinisha Kiswahili kuwa lugha rasmi ya taifa. Lugha ya Kiswahili inayozungumzua nchini humo zinatokana na lahaja ya Ugunja. Lugha ya kiswa...
Kiswahili Kinatumika kama lugha mojawapo ya Umoja wa nini
Mataifa
x
3655_swa_7
3655_swa
NJIA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA LUGHA YA KISWAHILI NCHINI KENYA. Lugha ya Kiswahili ni mojawapo ya lughu inayozungumzwa Afrika hasa, Africa mashariki. Nchi ya Tanzania na Kenya zimeidhinisha Kiswahili kuwa lugha rasmi ya taifa. Lugha ya Kiswahili inayozungumzua nchini humo zinatokana na lahaja ya Ugunja. Lugha ya kiswa...
Kiswahili kitumike kama lugha rasmi katika utangazaji wa nini
Habari
x
3655_swa_8
3655_swa
NJIA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA LUGHA YA KISWAHILI NCHINI KENYA. Lugha ya Kiswahili ni mojawapo ya lughu inayozungumzwa Afrika hasa, Africa mashariki. Nchi ya Tanzania na Kenya zimeidhinisha Kiswahili kuwa lugha rasmi ya taifa. Lugha ya Kiswahili inayozungumzua nchini humo zinatokana na lahaja ya Ugunja. Lugha ya kiswa...
Vyuo vikuu vya ulimwenguni vifunze lugha ipi miongoni mwa zingine
Kiswahili
x
3655_swa_9
3655_swa
NJIA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA LUGHA YA KISWAHILI NCHINI KENYA. Lugha ya Kiswahili ni mojawapo ya lughu inayozungumzwa Afrika hasa, Africa mashariki. Nchi ya Tanzania na Kenya zimeidhinisha Kiswahili kuwa lugha rasmi ya taifa. Lugha ya Kiswahili inayozungumzua nchini humo zinatokana na lahaja ya Ugunja. Lugha ya kiswa...
Juhudi za kuimarisha Kiswahili ni ya nani
Wananchi wa Kenya na Tanzania
x
3656_swa_0
3656_swa
SIASA ZA MIGAWANYIKO NA ATHARI YAKE KWA NCHI. Siasa za migawanyiko hutokea pale mwanasiasa mmoja katika taifa huungwa mkono na wafuasi wengine na kukataliwa na wengine. Siasa hizi mara nyingi hutokea wakati wote wanapoelekea katika uchaguzi mkuu. Mara nyingi huwa na madhara mengi katika jamii na nchi yote kwa ujumla ka...
Siasa za mgawanyiko husababisha kuenea kwa nini
Chuki
x
3656_swa_1
3656_swa
SIASA ZA MIGAWANYIKO NA ATHARI YAKE KWA NCHI. Siasa za migawanyiko hutokea pale mwanasiasa mmoja katika taifa huungwa mkono na wafuasi wengine na kukataliwa na wengine. Siasa hizi mara nyingi hutokea wakati wote wanapoelekea katika uchaguzi mkuu. Mara nyingi huwa na madhara mengi katika jamii na nchi yote kwa ujumla ka...
Visa huleta nini kwa bianadamu wasio hatia
Vifo
x
3656_swa_2
3656_swa
SIASA ZA MIGAWANYIKO NA ATHARI YAKE KWA NCHI. Siasa za migawanyiko hutokea pale mwanasiasa mmoja katika taifa huungwa mkono na wafuasi wengine na kukataliwa na wengine. Siasa hizi mara nyingi hutokea wakati wote wanapoelekea katika uchaguzi mkuu. Mara nyingi huwa na madhara mengi katika jamii na nchi yote kwa ujumla ka...
Ukosefu wa miundo misingi ipi husababisha vifo
Hospitali
x
3656_swa_3
3656_swa
SIASA ZA MIGAWANYIKO NA ATHARI YAKE KWA NCHI. Siasa za migawanyiko hutokea pale mwanasiasa mmoja katika taifa huungwa mkono na wafuasi wengine na kukataliwa na wengine. Siasa hizi mara nyingi hutokea wakati wote wanapoelekea katika uchaguzi mkuu. Mara nyingi huwa na madhara mengi katika jamii na nchi yote kwa ujumla ka...
Wanasiasa wanawahandaa nani
Vijana
x
3656_swa_4
3656_swa
SIASA ZA MIGAWANYIKO NA ATHARI YAKE KWA NCHI. Siasa za migawanyiko hutokea pale mwanasiasa mmoja katika taifa huungwa mkono na wafuasi wengine na kukataliwa na wengine. Siasa hizi mara nyingi hutokea wakati wote wanapoelekea katika uchaguzi mkuu. Mara nyingi huwa na madhara mengi katika jamii na nchi yote kwa ujumla ka...
Ni vipi vita huleta uharibifu
Kwa kuchoma majumba na magari
x