content stringlengths 1k 24.2k | category stringclasses 6
values |
|---|---|
Hatua hiyo imeelezwa ni moja ya sababu ya kushindwa kufikia malengo ya kujikwamua na lindi la umasikini.Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema aliyewakilishwa na Ofisa Elimu Sekondari, Benjamini Sipetro aliyasema hayo wakati wa uzinduzi wa mnara wa mawasiliano ya simu wa Kampuni ya Airtel katika kij... | uchumi |
Kutokana na hatua hiyo, Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), limeelezea kuridhishwa hatua hiyo, huku Mwenyekiti wake, Michael Mwanda akisema sasa ataanza kupata usingizi.Kuthibitika kuanza kwa majaribio hayo mwezi ujao kumeelezwa na Kaimu Meneja Mkuu wa kampuni tanzu ya TPDC, Kampuni... | uchumi |
WAKATI Klabu ya Simba wakidhamiria kumpeleka mwanachama wa timu hiyo Hamisi Kilomoni kwenye Kamati ya Midhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania, TFF, achukuliwe hatua kwa kosa la kutumia kivuli cha udhamini kudhoofisha brand ya timu hiyo, suala hilo limemuibua mwenyekiti wa zamani wa timu hiyo, Ismail Rage.Rage amezishau... | michezo |
MFUKO wa Mawasiliano kwa Wote nchini (UCSAF) inatarajia kutumia takribani Sh bilioni 26.5 kwa ajili ya kufi kisha huduma za mawasiliano katika kata 214 zenye vijiji 521.Aidha, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajia kuzindua maadhimisho ya miaka 10 ya mfuko huo yanayofanyika jijini hapa kwenye viwanja vya Nyerere. Hay... | kitaifa |
NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Faustine Ndungulile amesema wana mpango wa kuhamishia kambi ya upimaji virusi vya ukimwi kwenye viwanja vya michezo ili kuhamasisha wanaume kujitokeza kupima. Akizungumza na waandishi wa habari juzi baada ya kutembelea maonesho ya Utamaduni ya Jamaf... | michezo |
SIKU moja baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola kutangaza kuwavua nyadhifa zao makamanda wa polisi wa mikoa mitatu kwa sababu tofauti, zikiwemo kukaidi agizo la kutokomeza rushwa na kulinda wauzaji wa dawa za kulevya na biashara ya magendo, imebainika baadhi yao bado wanaendelea na majukumu yao kama ... | kitaifa |
Wafanyabiashara hao, walifanya ziara kwenda kujionea fursa mbalimbali za kibiashara katika eneo hilo ambalo linatarajiwa kuwa wa viwanda na biashara.“Serikali imetenga eneo la hekari 22,000 sawa na hekta 9,000 katika eneo hili maalumu la uwekezaji hapa Bagamoyo, na tunahamasisha wawekezaji wakiwemo wa mji wa Vallejo k... | uchumi |
Makamu Mwenyekiti wa klabu ya soka ya Yanga Clement Sanga ajiuzulu.Ametangaza uamuzi huo leo wakati anazungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam."Na ninajiuzulu kwa masikitiko kwa sababu pia naamini bado na kipindi kingine cha kuitumikia Yanga mpaka 2020 aah kwa mujibu wa Katiba yetu lakini kilichonipelekea... | michezo |
BARAZA la Chuo Kikuu Mzumbe limeiomba Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kushughulikia tatizo la ukosefu wa takwimu sahihi za wanafunzi wanaohitimu elimu ya juu zinazoonesha mwenendo wa ajira, kuajiriwa katika sekta ya umma na binafsi ili kubaini ukubwa wa changamoto ya ajira na kusaidia kuwa na mipango maalumu.Mwenyek... | kitaifa |
Hii ni mra ya kwanza kwa Wakenya kutamba katika mbio hizi, ambazo mwaka huu zilianzishwa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamisi Kigwangala, ambapo mwaka jana nafasi tatu za mwanzo zilishikwa na Watanzania.Mshindi wa kwanza kwa wanaume katika mbio hizo za mwaka huu alikuwa Mkenya, Joseph Mbata kwa kutumia saa 1:04.54... | michezo |
WAFUGAJI samaki katika maji baridi mkoani Morogoro wameshauriwa kuchukua tahadhari wakati wa kuandaa mabwawa ya samaki ili kuzuia magonjwa ya aina mbalimbali ukiwemo wa kupasuka na kukatika kwa vichwa vya kambale.Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma za Ugani wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Dk Claudius Luziga ali... | kitaifa |
SERIKALI imetoa onyo la mwisho kuhusu matumizi mabaya ya simu za mkononi yanayofanywa na baadhi ya watu wanaopiga picha miili ya watu wanaokufa kwenye ajali na kuzirusha mitandaoni.Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe ametoa onyo hilo jijini Dar es Salaam wakati wa kuaga miili ya wafany... | kitaifa |
Hata hivyo, mamlaka hiyo imeonya kuwa bei hiyo ya mafuta nchini haitaweza kupungua kwa kiasi kikubwa, kutokana na kushuka kwa thamani ya Shilingi dhidi ya dola ya Marekani pamoja na kutokubadilika kwa ushuru mbalimbali wa ndani wa mafuta.Pamoja na hayo, Kampuni ya Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (PICL) imeiomba Kamati y... | uchumi |
BINGWA mtetezi wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara na wawakilishi wa kimataifa Simba leo wana kazi nzito ya kusaka ushindi katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali dhidi ya TP Mazembe ya Congo.Kitendo cha kutinga hatua hiyo ni historia nyingine mpya baada ya mara ya mwisho kufanya hivyo mwaka 2003. Ki... | michezo |
Fainali hizo zimepangwa kufanyika Juni 2, mwaka huu kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha.Dilunga ambaye amekuwa kwenye kiwango cha juu tangu kuanza kwa msimu huu ameeleza kuwa wengi wamekuwa wakiitazama Singida kama timu iliyowatoa Yanga kwenye robo fainali na inapewa nafasi kubwa kutokana na hilo kitu ambacho s... | michezo |
WABUNGE wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (AEAC) kutoka Tanzania, wameeleza njia muafaka ya kuondoa vikwazo visivyo vya ushuru katika jumuiya hiyo ni uanzishwaji wa kamati ya kusimamia biashara.Aidha, wabunge wamepongeza jitihada za serikali katika kuharakisha kupitisha makubaliano, yanayofanywa kwenye jumuiya hiyo, huku... | kitaifa |
KIUNGO wa zamani wa Yanga Athumani China amewatipia lawama mabeki na kipa wa timu yake hiyo zamani kwa kuruhusu bao kwenye mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Stand United.Yanga ilipoteza mchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara kwa kufungwa bao 1-0 na Stand United na kuhitimisha safari ndefu ya timu hiyo ku... | michezo |
POLISI mkoani Mwanza inamshikilia mwanafunzi wa kidato cha pili anayesoma Shule ya Sekondari St Apostos, Yela Sylvester maarufu Cosmas (17), kwa kosa la kudanganya wazazi wake kuwa ametekwa ili ajipatie fedha.Kamanda wa Polisi wa Mkoa, Jumanne Muliro amewaeleza waandishi wa habari kuwa tukio hilo ni la Aprili 27, mwak... | kitaifa |
Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kibenki kwa Wateja Binafsi wa NBC, Mussa Jallow, alisema ujumbe wa simu utawawezesha wateja kwa haraka kufuatilia miamala inayofanyika katika akaunti zao.“Kwa kuleta, huduma hii itawawezesha wateja wetu kutambua muamala uliofanyika isivyo halali hivyo kuweza kuchukua hatua ya haraka,” ali... | uchumi |
MENEJA wa timu ya Mbao FC Almas Moshi amesema timu yao ipo tayari kuhakikisha inapambana kwa hali na mali ili iweze kuibuka na ushindi katika mchezo wao wa leo dhidi ya Simba SC kwenye Kombe la Sportpesa jijini Dar es Salaam.Timu hizo zitacheza leo kuanzia saa nane mchana kuwania nafasi ya tatu ya michuano hiyo, huku ... | michezo |
SERIKALI imewashauri wanaume nchini kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume ambazo zimethibitishwa na Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) pindi watakapokuwa na uhitaji huo. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi ametoa ushauri huo Bungeni Dodoma, leo Jumatatu, wakati akijibu maswali yaliyoelekezwa... | kitaifa |
MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan amesema hakuna nchi au ukanda, unaoweza kuwa na uchumi endelevu pasipokuwa na maendeleo ya kidijiti, hususani katika sekta ya afya.Amebainisha hayo Dar es Salaam wakati akifungua Mkutano wa saba wa Afya na Sayansi wa Afrika Mashariki. Mkutano huo hufanyika kila baada ya miaka miwili... | uchumi |
MKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amewataka wazazi na walezi wilayani Karatu kuhakikisha wanawapeleka watoto wao shule hata kama hawana sare za shule.Aidha ameagiza uongozi wa serikali ya kijiji cha Lositete kuchukuliwa maelezo na polisi kuhusu sababu za kutochangia maendeleo ya elimu, badala yake wanaingiza siasa ... | kitaifa |
ZIKIWA zimebakia siku chache, tamasha la Sauti za Busara 2020 kuanza, waandaaji wake wamesema mwaka huu wanataka kutumia katika kukemea unyanyasaji wa kijinsia suala ambalo linaendelea kutesa tasnia ya muziki na jamii. Tamasha hilo linatarajiwa kuanza Februari 13 hadi 16 katika eneo la kihistoria la Ngome Kongwe Zanzi... | michezo |
['Red Bull Salzburg imeweka bei ya pauni milioni 86 kama dau la usajili kwa mshambuliaji Erling Braut Haaland, 16. (Tuttosport - in Italian)', 'Arsenal inaweza kumuuza kiungo wake Granit Xhaka ,27, mwezi Januari baada ya kuvuliwa unahodha. (Mirror)', 'Manchester United wanafuatilia maendeleo ya winga wa Burnley na timu... | michezo |
UGANDA imetimiza ndoto zake za kutengeneza magari ambapo inakuwa nchi ya nne kati ya sita za Afrika Mashariki.Nchi hiyo iko mbioni kutengeneza mabasi ya kisasa ya abiria kwa ajili ya biashara ndani na nje ya Afrika Mashariki wakati wa Krismasi kwa gharama ya Sh milioni 95 za nchi hiyo, huku kukiwa na fursa ya kulipa k... | uchumi |
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwangalla anatarajiwa kuongoza maelfu ya washiriki wa Rock City Marathon zinazoratarajiwa kufanyika Octoba 20, kwenye viunga vya Jengo la Biashara la Rock City Mall, jijini Mwanza. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya mbio hizo, Clem... | michezo |
NI mechi ya kufa ama kupona kwa Simba inayotarajiwa kucheza na AS Vita ya Congo DR mechi ya mwisho ya kundi D kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam.Mshindi wa mechi hiyo atafuzu robo fainali za michuano hiyo hivyo ushindi kwa yeyote ni jambo muhimu zaidi leo. Simba inatarajiwa... | michezo |
Ombi hilo limetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fabian Massawe kwa Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dk Charles Tizeba aliyetembelea Uwanja wa Ndege wa Bukoba kukagua maendeleo ya mradi wa ukarabati na upanuzi wa uwanja huo.Massawe alisema kutokuwepo na ushindani kunachangia wakazi wa mkoa huo kutozwa nauli kubwa.Alisema kuwa... | uchumi |
Mkuu wa Wilaya ya Uyui mkoani Tabora, Gift Msuya amesema kuna fursa ya kuwekeza kwenye ufugaji wa nyuki na uchakataji wa asali na mazao yake.Amesema ofisini kwake kuwa, wanahitaji viwanda vidogo kwa ajili ya kuongeza thamani ya zao la asali linalozalishwa kwa wingi kwenye wilaya hiyo.“Lakini pia kuibrand asali yetu ka... | uchumi |
Alisema mradi huo wa nyumba unajengwa katika eneo la Iyumbu, karibu na Chuo Kikuu cha Dodoma. Alisema hatua hiyo itapunguza uhaba wa nyumba za makazi na biashara katika manispaa ya Dodoma, kwa kuwa miradi mingine ya nyumba za biashara itajengwa katika eneo Meledeli.Akifafanua, Gambalagi alisema NHC itatekeleza miradi ... | uchumi |
Rais John Magufuli amewakaribisha wananchi wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) waje kununua bidhaa zinazozalishwa nchini ikiwemo saruji, sukari, mafuta, bidhaa za chuma, na vyakula yakiwemo mahindi.Rais Magufuli pia amewakaribisha wananchi wa DRC waje kuwekeza kwenye sekta ya viwanda, kilimo, uvuvi, utalii, mad... | uchumi |
SERIKALI imepiga marufuku uchomaji matofali kwa njia ya tanuri kwa kutumia nishati ya kuni hasa katika maeneo ya mijini na badala yake imewataka wachomaji hao watumie pumba kama nishati mbadala.Onyo hilo lilitolewa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu wakati alipozungumza na Kamati ya Ulinzi na ... | kitaifa |
NAHODHA wa timu ya soka ya taifa, Taifa Stars na Klabu ya Aston Villa ya England, Mbwana Samatta amewaomba mashabiki Watanzania kuacha kutoa maneno ya kashfa au yenye malengo mabaya yanayoweza kusababisha mahusiano mabovu uwanjani na wachezaji wenzake.Samatta ametoa wito huo jana kwenye kurasa zake za mitandao ya kija... | michezo |
Ahadi hiyo imetolewa na Ofisa Mkuu wa Masoko na Mauzo wa Kampuni hiyo, Peter Ngota. Alisema hayo alipokuwa akikabidhi zawadi za Mwaka mpya kwa vituo vya watoto wanaoishi katika mazingira magumu jana jijini Dar es Salaam.TTCL ilitoa zawadi ya vyakula kwa vituo vya Kiwohede, Salvation Army na Msongola vyote vikiwa vya j... | uchumi |
Hayo yalisemwa jijini Dar es Salaam jana na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Ocean Business Partners, Abdulsamad Abdulrahim wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu safari hiyo inayotarajiwa kufanyika Juni 8 mwaka huu.Alisema safari hiyo ambayo itakuwa ya siku tatu nchini humo, imeratibiwa kwa pamoja baina ya kampuni ya... | uchumi |
Akitoa mada kwenye mkutano unaohusu matumizi ya sayansi na teknolojia katika kukuza uchumi wa nchi jana jijini Dar es Salaam, Mhadhari wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Profesa Juma Kitima alisema vivutio hivyo vinaweza kuwa hasi au chanya.Alisema maji yanayotumika viwandani yakichujwa yanaweza kuhifadhiwa na yakatumiwa... | uchumi |
Alitoa mwito huo jana wakati akifungua semina ya siku tano juu ya mafunzo ya kuingia makubaliano na mikataba kwenye sekta ya madini kwa wanasheria wa sekta ya umma kutoka nchi wanachama wa Jumuiya hiyo.Katika mkutano huo ulioanza jana jijini Dar es Salaam, Pinda alisema wanasheria wanapaswa kujali wananchi walio masik... | uchumi |
SERIKALI imenunua korosho ghafi za tani 214,269.684 zenye thamani ya Sh bilioni 717.1 sawa na asilimia 89.3 ya lengo la uzalishaji wa zao hilo.Takwimu hizo zilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Kilimo, Omari Mgumba wakati akijibu swali la Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema). Mdee alitaka kujua hadi sasa ni kias... | kitaifa |
WAKATA miwa wa Morogoro Mtibwa Sugar wameahidi ushindi leo dhidi ya KCCA ya Uganda katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika utakaochezwa kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazi.Mchezo huo huenda ukawa mgumu hasa kwa Mtibwa ambao walipoteza mchezo wa kwanza ugenini kwa kufungwa mabao 3-0. Ili kusonga mbele katika hat... | michezo |
SHULE ya Tusiime ya Tabata jijini Dar es Salam imeongoza kwa Mkoa wa Dar es Salaam kwa kutoa wanafunzi wengi katika 10 bora kwa wasichana na wavulana na kupeleka wanafunzi wengi shule za vipaji maalumu.Hayo yalibainika jana wakati wa mchakato wa kuwapangia shule wanafunzi waliofaulu mtihani wa darasa la saba ambao mat... | kitaifa |
Kamati hiyo ilibainisha kuwa moja ya mapungufu ya mkataba huo ni pamoja na msamaha wa kodi usioeleweka, uliotolewa kwa kampuni inayotengeneza leseni hizo ya M/s Tracking Inovations LTD.Akiwasilisha taarifa ya mwaka ya kamati hiyo bungeni Dodoma juzi, Mwenyekiti wa PAC, Kabwe Zitto, alisema pia kamati hiyo imebaini kuw... | uchumi |
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo alibainisha hayo jana baada ya kikao chake na Waziri wa Nishati na Migodi wa Algeria ,Youcef Yousfi na wataalamu wa wizara hizo mbili.Alisema hatua hizo ni kati ya miradi mingi ya ushirikiano katika sekta hizo, ambapo ujenzi wao ukikamilika utapunguza gharama kwa a... | uchumi |
Timu hiyo ya Ligi Kuu iliongoza baada ya bao la Willian katika dakika ya 62 na ilionekana kuibuka na ushindi. Kross ya Christensen ndani ya eneo la hatari liliiadhibu Chelsea baada ya Lionel Messi kuunasa mpira na kuifungia Barca bao la kusawazisha ugenini.Alipoulizwa kuhusu bao hilo, bosi huyo wa Chelsea, Conte alise... | michezo |
MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amewataka wakazi mkoani hapa kuitumia kwa manufaa ziara ya Rais John Magufuli ili kuuwezesha mkoa kunufaika nayo.Akizungumza na waandishi wa habari juu ya ziara ya Rais, Chalamila alisema ni wakati kwa wakazi wa mkoani hapa kujitokeza kwa wingi katika maeneo atakayopita Rais Mag... | kitaifa |
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Ettiene Ndayiragije amesema wako tayari kuwakabili Simba katika mchezo wa ngao ya jamii mwishoni mwa wiki hii akiamini utakuwa wenye ushindani kwa sababu timu zote zinawakilisha kimataifa. Azam FC tayari imewasili Dar es Salaam ikitokea Ethiopia ilipopoteza kwa bao 1-0 mchezo wa awali wa Kombe l... | michezo |
Jafo ameyasema hayo leo katika kata ya Kiluvya iliyoko wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani, katika ziara ya kukabidhi vifaa vya kufanyia kazi kwa wanufaika wa mradi wa kuwezesha vijana kiuchumi (YEE).Kata nyingine ambazo wanufaika walikabidhiwa vifaa ni pamoja na Malumbo na Kurui.Mradi wa YEE ulioanza mwaka 2015 hadi 2018... | uchumi |
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewaaga watalii 1,000 waliokuja nchini kutoka Israel na kuwataka wakawe mabalozi wazuri wa Tanzania nchini mwao.Mwito huo ulitolewa jana mkoani hapa kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Kilimanjaro (KIA) wakati akiaga kundi la kwanza la watalii 274 ambao ni kati ya watalii 1,000 waliowa... | uchumi |
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetoa tahadhari ya kimbunga kilichopewa jina la Kenneth kutokea katika Bahari ya Hindi.Kimbunga hicho kitaathiri huduma baharini kwa asilimia 100 na athari nchi kavu, huku kikisababisha ongezeko la mvua nchini na upepo mkali.Aidha, kimbunga hicho ambacho mpaka jana asubuhi kili... | kitaifa |
BAADA ya ya kuondolewa kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, mshambuliaji tegemeo wa Yanga, Mkongomani, Heritier Makambo amewatuliza mashabiki wa timu hiyo kwa kuwaambia watulie, sasa makali yao watayatoa katika Ligi Kuu Tanzania Bara.Kauli hiyo aliitoa baada ya timu hiyo kutua nchini ikitokea Rwanda, ambako ilifungwa ba... | michezo |
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Profesa Adolf Mkenda amebainisha kuwa wizara yake imeingia mkataba na Kampuni ya Suma JKT kwa ajili ya ujenzi wa ofi si za wizara hiyo katika mji wa kiserikali Ihumwa nje kidogo ya Jiji la Dodoma.Mkanda aliyabainisha hao alipozungumza na waandishi wa habari jijini hapa wak... | kitaifa |
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Zainabu Kawawa anatamani wilaya hiyo iwe kitovu cha utalii nchini Tanzania.Amesema, Bagamoyo ina vivuto vingi vya utalii vinavyohitaji uwekezaji mkubwa zikiwemo hoteli.“Yaani hiyo ndiyo ndoto yangu. Ndoto yangu kubwa sana ipo kwenye kuifanya Bagamoyo kuwa kitivo cha utalii”amesema ofisini kw... | uchumi |
WAZIRI wa Nchi Ofi si ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo ametoa siku sita kwa uongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam, kumpa taarifa ya kina kwa nini hawajachukua Sh bilioni 50.9 zilizotengwa kwa ajili ya mradi wa kituo cha mabasi cha Mbezi Luisi.Jafo aliyasema hayo jana Dar es Salaam waka... | kitaifa |
ASASI isiyo ya kiraia ya Alliance For Democratic Organization (ADO) imewapongeza wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupitisha Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa huku ikiwataka baadhi ya wanasiasa kutoka vyama vya upinzani kuheshimu maamuzi hayo.Akizungumza na waandishi wa habari ji... | kitaifa |
KATIBU Mkuu wa zamani wa Shirikisho la Soka la Kenya (KFF), Hussein Swaleh ni miongoni mwa watu 157 waliokufa katika ajali ya ndege ya Ethiopia iliyoanguka juzi asubuhi ikitoka Addis Ababa kwenda Nairobi.Swaleh alikuwa akirejea kutoka katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Ismail ya Misri na TP Mazembe ya Co... | michezo |
['Arsenal wanatarajiwa kuanzisha mazungumzo na Barcelona kuhusu kumsajili kiungo wa kati wa Brazil Phillipe Coutinho 27 hatua ambayo itaigharimu klabu hiyo dau la £27m. (Sun on Sunday)', 'Manchester United wamewasilisha ombi la dau la £46m kumsajili mchezaji wa Ajax mwenye umri wa miaka 22 na raia wa Brazil David Ner... | michezo |
UUNGANISHAJI maji ya Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasa) kwa mkopo umeshika kasi katika maeneo mbalimbali huku mamlaka ikisema inakwenda hatua kwa hatua na wakazi wote jijini watapata maji.Akizungumza hivi karibuni katika kipindi cha ‘Tunatekeleza’ kinachorushwa na chaneli ya TBC One ya Shirika la U... | kitaifa |
WABUNGE wamesema Bajeti ya mwaka 2019/20 ni ya ushindi kwani imejibu kilio cha Watanzania kwa kuondoa kodi na tozo chechefu.Wakizungumza na gazeti hili katika viwanja vya Bunge jana baada ya Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango kusoma bajeti kwa saa 2, wabunge bila kujali itikadi za vyama vyao walisema bajeti ... | kitaifa |
KAMANDA wa Polisi Mkoa (RPC) wa Dodoma, Gilles Muroto amewataka viongozi wa madhehebu ya dini mkoani hapa, kuwashirikisha na kuwaelimisha waumini wao katika suala la ulinzi na usalama kwenye kipindi cha sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya.Alitoa ushauri huo alipozungumza na viongozi wa madhehebu ya dini katika kikao cha... | kitaifa |
SERIKALI imeombwa kuhakikisha kila kiwanda kinachozalisha mafuta ya alizeti kinakaguliwa na kupewa alama ya ubora ili kulinda afya za walaji wa bidhaa hiyo na kuleta usawa kuhimili ushindani.Rai hiyo ilitolewa mjini hapa na baadhi ya wazalishaji wa mafuta ya alizeti kutoka viwanda vya kati na vikubwa waliodai wao wali... | kitaifa |
SERIKALI imetoa ufafanuzi na kukanusha madai, yaliyotolewa hivi karibuni kupitia mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya kimataifa kwamba Tanzania imekataa kuruhusu uchapishaji wa ripoti ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) kuhusu hali ya kiuchumi ya Taifa.Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango alisema jana bun... | kitaifa |
GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Florens Luoga, amesema elimu kuhusu masuala ya fedha ni muhimu katika mfumo wa taarifa za mikopo ili kuwawezesha Watanzania kupanga matumizi bora ya mikopo.Profesa Luoga alitoa kauli hiyo katika uzinduzi wa kampeni ya uelimishaji umma kuhusu taarifa za mikopo na fedha, il... | uchumi |
Kimbunga Kenneth kikiwa na kasi ya 220 kwa saa (220km/h) kimelikumba eneo la kaskazini mwa Msumbuji usiku wa kuamkia leo, Ijumaa.Hata hivyo serikali ya nchi hiyo haijaripoti kutokea madhara kwa binadamu baada ya kupita kimbunga hicho. Kimbunga hiki kimetokea nchini humo ikiwa ni wiki sita tu zimepita tangu Msumbiji ik... | kitaifa |
HALMASHAURI ya Mji Mbinga mkoani Ruvuma, imetoa mkopo wa Sh milioni 112.2 kwa vikundi vya vijana, wanawake na walemavu, hivyo kufi kia lengo la kutoa mikopo isiyo na riba kwa asilimia 100 kwa mwaka 2018/19.Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo, Grace Quintine alisema katika awamu ya kwanza Desemba, mwaka huu, zilito... | kitaifa |
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba Leo watakuwa na kibarua kigumu ugenini cha kusaka pointi tatu muhimu wakati watakapowakabili wababe wao, Kagera Sugar katika mchezo utakaofanyika kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini hapa. Mchezo huo unatarajiwa kuwa mgumu kwa timu zote kutokana na viwango bora vya timu hiz... | michezo |
['Arsenal wapo tayari kumuuza mshambuliaji wao raia wa Gabon Pierre-Emerick Aubameyang, lakini si kwa Manchester United ama Liverpool. (90min.com)', 'Mshambuliaji wa Ivory Coast Wilfried Zaha, 26, ameiomba klabu yake ya Crystal Palace imruhusu ahamie Arsenal. Palace inamthaminisha streka huyo streka huyo kuwa na thama... | michezo |
Akizungumzia katika warsha ya kitaifa ya wadau ya sekta ya kilimo inayofanyika Dar es Salaam yenye mada kuu ya “Wazalishaji Tuanze na Soko, Mkurugenzi Mwendeshaji wa TADB, Thomas Samkyi, alisema ukosefu wa masoko ya mazao unaowakabili wakulima ni moja ya changamoto kuu zinazorudisha nyuma maendeleo ya kilimo nchini.Sa... | uchumi |
ZAIDI ya Sh milioni 430 zimeingizwa kwenye mzunguko wa fedha wa mjini Iringa kupitia mikopo iliyotolewa na Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo (SIFA Saccos Ltd) kati ya Januari na Septemba mwaka huu. Mwenyekiti wa Saccos hiyo, Emmanuel Magoda alisema kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa chama hicho uliofanyika mjini Irin... | uchumi |
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isaack Kamwelwe ametoa mwezi mmoja kwa Bodi ya Wakala wa Meli Tanzania (TASAC), kuzifuta tozo zote zisizo za kisheria za shughuli za usafi rishaji wa mizigo bandarini ili kuiwezesha bandari hiyo kuwa na ushindani wa kibiashara dhidi ya bandari nyingine.Aidha, ameitaka bodi hi... | kitaifa |
SERIKALI iko katika hatua ya mwisho ya makubaliano na Benki ya Dunia (WB) kwa ajili ya utekelezaji wa Programu ya Kuimarisha Milki za Ardhi ikiwa ni katika kuhakikisha ardhi inatumika kwa tija. Hayo yalibainishwa jana bungeni na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi wakati akiwasilisha hotuba ... | kitaifa |
HALMASHAURI ya Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma, imepata mwekezaji wa kiwanda cha mawese ambaye tayari amewasilisha barua ya kuanza kununua malighafi za zao hilo.Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Masumbuko Kichego amesema hayo wakati wa ziara ya Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI)... | uchumi |
SERIKALI imesitisha safari za ndege kwenda nchini Afrika Kusini mpaka wajiridhishe kwa maandishi kuhusu usalama wa abiria na ndege kutokana na vurugu zinaozendelea nchini humo.Aidha, serikali imetangaza kuwa mwezi Novemba wataingiza nchini ndege mbili aina ya Bombardier na Dreamliner huku wakikamilisha manunuzi ya nde... | uchumi |
MKUU wa Mkoa wa Katavi, Amos Makalla ameshauri mkoa wa Tabora kuanzisha dawati maalumu litakalotumika kutoa taarifa zote muhimu za fursa za uwekezaji ziwasaidie watu wenye nia ya kuwekeza kuchagua maeneo kulingana na vipaumbele vyao.Makalla alitoa kauli hiyo hivi karibuni mkoani Tabora alipokaribishwa kushiriki na kuf... | uchumi |
WASANII wa fani tofauti na waandishi wa habari Alhamisi wiki hii watafanya ziara kutembelea mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa SGR unaotekelezwa na Serikali ya Tanzania kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC).Mratibu wa safari hiyo, msanii wa filamu Steve Mengele 'Nyerere' ameupongeza uongozi wa TRC kwa kutambua mchango... | kitaifa |
Kati ya Sh milioni 300 za kila siku katika promosheni hiyo, mtu mmoja atakuwa anajishindia Sh milioni 100, watu kumi kila mmoja atapata Sh milioni 10, wengine 100 kila mmoja akipata Sh milioni moja na wengine 15,000 wakipata muda wa maongezi wa Sh 1,000 kila mmoja.Akizungumza na wageni waalikwa kwenye hafla ya uzinduz... | uchumi |
KABLA ya Yanga kukutana na As Vita ya DR. Congo katika kilele cha Wiki ya wananchi (Kubwa Kuliko) imepania kupita mtaa kwa mtaa na kufanya matamasha mbalimbali kupitia wasanii wa muziki na maigizo.Yanga inataka kuwatumia wasanii ambao ni wapenzi wa klabu hiyo kurudisha hamasa kwa mashabiki wake.Makamu Mwenyekiti wa Ya... | michezo |
WATAALAMU na wadau wa malezi na makuzi ya mtoto wamehimiza wazazi kuzungumza na kumjengea mtoto upendo na ukaribu tangu akiwa tumboni ili kumuandaa kwa makuzi bora kiakili, kihisia na kimwili. Kupitia mradi wa Malezi kwa Makuzi ya Mtoto unaotekelezwa na Shirika la kimataifa la Elizabeth Glasser Pediatric AIDS (EGPAF) ... | kitaifa |
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba, Maji, Nishati, Salama Aboud Talib amesema vyanzo vya maji safi na salama vilivyopo Zanzibar vipo katika hatari ya kutoweka kutokana na tabia ya wananchi kuvamia na kujenga nyumba za kudumu.Salama alisema hayo wakati akifanya majumuisho na kujibu hoja za wajumbe wa Baraza la Wawakilishi walioch... | kitaifa |
Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda amesema, Rais John Magufuli alifanya uamuzi mgumu kutekeleza mradi wa kuzalisha umeme kwenye Bonde la Mto Rufiji.Amesema mjini Kibaha kuwa, mradi huo utakaozalisha megawati 2,115 ni miongoni mwa miradi ya kimkakati itakayokuwa na matokeo makubwa kwenye ujenzi wa sekta ya viwanda na ny... | uchumi |
Msemaji wa TDU, Geofrey Willis, ameeleza kuwa kwa mwongozo huo wawekezaji watapata habari wanazohitaji kuhusu sekta ndogo ya faida za uwekezaji, motisha za uwekezaji na dhamana na habari ya vitendo kuhusu kuanzisha biashara nchini Tanzania.Sekta ndogo ya viwanda vya nguo, huwapatia wawekezaji fursa bora ya kutumia uwe... | uchumi |
MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan kesho anatarajiwa kufungua jukwaa la fursa za biashara na uwekezaji mkoani Lindi, ambalo limeanza rasmi leo mkoani humo.Hiyo ni mara ya pili jukwaa hilo linaloandaliwa na Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), kuhudhuriwa na viongozi wa ngazi za juu. Jukwaa la nane lililofanyika mko... | uchumi |
SERIKALI imewasilisha bungeni Muswada wa kuanzisha Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA).Muswada huo pia unapendekeza makosa ya jinai na adhabu zake chini ya sheria inayopendekezwa, ambapo watumiaji maji vibaya watatozwa faini ya Sh milioni tano hadi milioni 10, huku watumiaji maji kinyume cha matumiz... | kitaifa |
SERIKALI ya Finland inatarajia kutoa Euro 9.5 sawa na Sh bilioni 24/- kwa ajili ya mradi wa awamu ya pili wa Panda Miti Kibiashara.Mradi huo utakaodumu kwa miaka minne ni kwa ajili ya wakulima wadogo wa miti wa mikoa yote ya Nyanda za Juu Kusini.Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu aliagiza Idara y... | uchumi |
WANANCHI wamehadharishwa kukabiliana na mionzi iliyopo katika simu za mkononi za kisasa kwa kuzungumza chini ya dakika tano, vinginevyo inaweza sababisha madhara mbalimbali mwilini, ikiwemo ugonjwa wa saratani.Aidha wananchi wametakiwa kuacha kuwapatia watoto kutumia simu hizo mara kwa mara kwani mionzi yake inaathiri... | kitaifa |
WAKATI Simba imetinga fainali ya mashindano ya SportsPesa Super Cup, swali ni je, wameachana na makocha wao baada ya jana kuwa jukwaani wakishuhudia timu yao ikishinda kwa penalti 5-4 katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Afraha mjini Nakuru. Kocha Mkuu, Pierre Lechantre na kocha wa viungo wa timu hiyo kutoka Mor... | michezo |
NAHODHA wa timu ya soka ya taifa, Taifa Stars, Mbwana Samatta amewataka Watanzania kutembea kifua mbele kwa ushiriki wao wa michuano ya fainali za Kombe la Mataifa Afrika, Afcon 2019.Stars ipo mjini hapa kushiriki fainali za Afcon, ikiwa ni mara ya kwanza baada ya miaka 39, tangu iliposhiriki mara ya mwisho mwaka 1980... | michezo |
Imesema kuanzia mwezi Februari mosi mwaka huu, itaanza kutoa adhabu kwa watakaokuwa hawana mashine hizo.Imesema licha ya kuwepo kwa maandamano na migomo ya kufunga maduka kwa baadhi ya mikoa, matumizi ya mashine hizo na gharama zake ziko pale pale. Imeeleza kuwa imejipanga kuondoa kero mbalimbali zilizopo.Hayo yalitan... | uchumi |
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kwenye mchezo ujao wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Pyramids atatumia mbinu mpya kwa lengo la kupata matokeo chanya tofauti na mbinu alizotumia kwenye mchezo uliopita.Zahera ametoa kauli hiyo baada ya kikosi hicho kutua salama nchini Misri kikiwa na msafara... | michezo |
Katika jukwaa hilo, washiriki kutoka makundi mbalimbali ya kijamii, wafanyabiashara ndogo na wakubwa, wawekezaji, maofisa wa serikali na wananchi watapata pia nafasi ya kukutana na maofisa wa taasisi muhimu za maendeleo na kuwauliza maswali pamoja na kuanzisha mawasiliano.Hili ni Jukwaa lililoandaliwa na Kampuni ya Ma... | uchumi |
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema kutokana na juhudi kubwa za serikali za kuimarisha uchumi, ukusanyaji wa mapato umeongezeka na kwamba kwa mwaka 2017/18 serikali ilikusanya Sh bilioni 688.7 ikilinganishwa na Sh bilioni 521.8 zilizokusanywa na taasisi za ukusanyaji kodi kwa mwaka 2016/17.Taasisi zinazokus... | kitaifa |
Kituo hicho kilichoko eneo la Kabanga nchini na Kobero nchini Burundi, kitasaidia uvukaji wa abiria na usafirishaji wa bidhaa.Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini katika Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Vedastina Justinian alisema hayo jana katika Maonesho ya 38 Biashara ya Kimataifa.Alisema matumizi y... | uchumi |
MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amewataka vijana mkoani humo kuchangamkia fursa zinazotokana katika ufugaji wa ng’ombe wa maziwa ili kuinua maisha yao kwa kuwa kuna soko la uhakika la bidhaa hiyo.“Wakati umefika kwa vijana badala ya kulalamika kuhusu ajira, wangejikita kwenye ufugaji wa ng’ombe wa maziwa ambao... | uchumi |
SIKU chache baada ya uongozi wa Simba SC kumsimamisha kazi kwa muda kocha wao mkuu, Patrick Aussems na timu kukabidhiwa kocha msaidizi, Denis Kitambi, kocha huyo amefunguka kuwa timu itaendelea na makali yake yale yale.Taarifa zinaeleza kuwa uongozi wa Simba umemsimamisha kazi Aussems kwa muda huku ukipanga leo kufany... | michezo |
TIMU ya soka ya Taifa, Taifa Stars sasa ina kazi nzito ya kupindua matokeo katika mechi ya marudiano dhidi ya Sudan baada ya jana kufungwa bao 1-0 kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Mechi hiyo ya kuwania kufuzu fainali za kombe la mataifa Afrika kwa wachezaji wa ndani, Chan ilikuwa ya vuta nikuvute na Stars itabidi... | michezo |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema, Mkoa wa Tabora unafaa kwa uwekezaji kwa kuwa una fursa nyingi na upo tayari kupokea wawekezaji.Amesema, anaufahamu vizuri mkoa huo wenye fursa nyingi zikiwemo za kwenye sekta ya kilimo, mifugo, ufugaji wa nyuki, huduma zikiwemo za hoteli, benki, mawasiliano na biashara kwa ujumla.... | uchumi |
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker, aliyasema hayo jijini Dar es Salaam jana alipokuwa anatoa mwendelezo wa taarifa za kifedha za benki hiyo kwa vyombo vya habari.Aidha, Bussemaker alisema kumekuwepo sababu mbalimbali za ongezeko hilo kuwa dogo miongoni mwake ikiwa ni kulegalega kwa Shilingi ya Tanz... | uchumi |
Kamala alisema hayo alipozungumza katika mkutano uliowakutanisha wawekezaji kutoka Ubelgiji, Ugiriki na Italia mjini hapa, ukiwa na lengo la kuitangaza Zanzibar katika utalii na uwekezaji.Alisema mhimili mmoja wa utalii ni kuimarika kwa amani na utulivu na kwa sasa Zanzibar imepiga hatua kubwa chini ya uongozi wa Rais... | uchumi |
Hali hiyo inatokana na wakulima hao kushindwa kulipa deni kwa zaidi ya miaka miwili, kinyume na makubaliano ya mkataba.Mwanasheria wa ZSTC, Ali Hilali Vuai alisema kwa mujibu wa makubaliano yaliyofikiwa kati ya wakulima na uongozi wa shirika hilo, wanatakiwa kulipa mikopo hiyo katika kipindi cha miezi mitatu.Alisema j... | uchumi |
HASSAN Dilunga jana aliamua matokeo na kuipa timu yake ya Simba ushindi wa bao 1-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.Dilunga aliyeingia dakika ya 28 kuchukua nafasi ya nahodha John Bocco aliyetoka kutokana na kuumia baada ya mechi hiyo aliwataka mashab... | michezo |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali inautegemea mkoa wa Pwani kwa uwekezaji.Ameyasema hayo leo mjini Kibaha wakati anafungua Kongamano la Uwekezaji Mkoa wa Pwani.Amesema, Mkoa wa Pwani upo mbele katika kutekeleza azma ya Serikali ya kuleta maendeleo na mabadiliko ya kiuchumi kupitia uwekezaji na hasa kwa kuj... | uchumi |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.